Kianakalangu

Kianakalangu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waanakalangu kwenye kisiwa cha Sumba. Idadi ya wasemaji wa Kianakalangu imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianakalangu iko katika kundi la Kisumba-Hawu.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search